Idara ya upelelezi inaendelea kuchunguza mkasa wa moto uliochoma bweni la shule ya Hillside

  • | K24 Video
    15 views

    Idara ya upelelezi inaendelea kuchunguza mkasa wa moto uliochoma bweni la shule ya hillside Endarasha kaunti ya Nyeri , ambao ulisababisha kifo cha wanafunzi 21. Idara hiyo imeendelea kuhoji wafanyakazi waliokuwepo usiku wa mkasa. Swali kuu linaloulizwa ni kuhusu mahali alikokuwa matroni wa shule hiyo wakati wa tukio hilo.