24 Feb 2026 1:08 pm | Citizen TV 3,566 views Duration: 56s Idara ya upelelezi sasa imependekeza kushtakiwa kwa watu watano kwa mauaji yaliyosababisha kifo cha mtu mmoja na mwingine kujeruhiwa kwenye eneo la Burudani Kitengela, kaunti ya Kajiado