Idara ya usalama imepiga marufuku mikutano kaunti ya Nandi

  • | Citizen TV
    462 views

    Idara ya usalama kaunti ya Nandi imepiga marufuku mikitano yote ya wananchi nje ya bunge la kaunti ya Nandi . Hayo yanajiri wakati ambapo bunge hilo linatarajiwa kujadili ripoti iliyoundwa na kamati maalum kuhusuiana na uchunguzi dhidi ya ubadirifu wa fedha pamoja na matumizi mmbaya wa mamlaka katika serikali ya kaunti ya Nandi.