Idara ya usalama katika kaunti ya Trans Nzoia imefanikiwa kunasa lita elfu kumi za pombe haramu

  • | K24 Video
    88 views

    Idara ya usalama katika kaunti ya Trans Nzoia imefanikiwa kunasa lita elfu kumi za pombe haramu huku wagemaji watatu wakitiwa mbaroni. mwahabari watu George Njoroge anataarifa kamili.