Idara ya utabiri wa hali ya hewa yasema kutakuwa na joto jingi Januari

  • | K24 Video
    134 views

    Idara ya hali ya anga imetabiri kuwepo kwa joto jingi mwezi huu wa Januari katika baadhi ya maeneo hapa nchini haswa yale yalioathirika zaidi na mvua za El-Nino. Utabiri huo wa kwanza mwaka huu pia umebaini kuwa mvua iliokuwa ikishuhudiwa huenda ikapotea katika siku zijazo