Idris Dokota : Hakuna Mkenya atakayefariki kutokana na makali ya njaa

  • | KBC Video
    46 views

    Hakuna Mkenya atakayefariki kutokana na makali ya njaa. Hayo ni kwa mujibu wa katibu katika wizara ya maeneo kame Idris Dokota. Dokota ambaye alikuwa mjini Kajiado hapo jana baada ya kusimamia shughuli ya usambazaji chakula cha msaada alisema serikali imeimarisha mikakati ya kukabiliana na ukame na kupunguza athari zake.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.com/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1tv Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #KBCchannel1 #darubini #News