IEBC Bungoma imeahidi uchaguzi mdogo wa Usenta wa ukweli na Uwazi

  • | West TV
    16 views
    Tume huru ya Uchaguzi nchini IEBC ikijiandaa kufanikisha uchaguzi mdogo wa Useneta Kaunti ya Bungoma imetoa ahadi kwa wagombezi kuwa itaendesha uchaguzi huru na wazi.