Skip to main content
Skip to main content

IEBC inasema inahitaji shilingi milioni 888 za maandalizi ya uchaguzi mkuu

  • | Citizen TV
    209 views
    Duration: 3:04
    Tume ya uchaguzi na mipaka nchini IEBC sasa inasema inahitaji shilingi milioni 888 kujiandaa kwa uchaguzi mkuu ujao. IEBC ikisema pesa hizo zitatumika kwa usajili wa wapiga kura zaidi, kununua magari mapya ya makamishna na ujenzi wa kituo cha mawasiliano kwa maandalizi ya uchaguzi huo.