IEBC inawataka vijana kujisajili kupiga kura

  • | Citizen TV
    68 views

    Tume ya uchaguzi -IEBC- inawataka vijana kujitokeza na kujisajili na kushiriki uchaguzi wa mwaka 2027.