IEBC kuzindua awamu nyingine ya kuwasajili wapiga kura wapya wiki lijalo

  • | KBC Video
    Ikiwa imesalia Saa 18 kabla ya kuanza kwa awamu ya pili na ya mwisho ya shughuli ya kuwasajili wapiga kura wapya kabla ya uchaguzi mkuu wa tarehe nane mwezi Agosti mwaka huu,tume ya uchaguzi nchini imetoa wito kwa wanawake kujitokeza kwa wingi na kusajiliwa wakati wa zoezi hili.Hayo yanajiri huku naibu mwenyekiti wa tume hiyo akiwahakikishia wakenya kuhusu matayarisho ya uchaguzi huo licha ya kesi iliyowasilishwa mahakamani kuhusu makaratasi ya kura. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.com/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1news Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #KBCchannel1 #VoterRegistration #IEBC