- 696 viewsDuration: 3:00Tume ya Uchaguzi IEBC inaendesha mikutano ya kukusanya maoni ya Wakenya kuhusu kanuni mpya za tume hiyo kuhusu matumizi ya fedha za wanasiasa katika kampeni zao. IEBC imewarai Wakenya kuamini kuwa tume hiyo itaendesha uchaguzi huru na wa haki mwaka wa 2027, na kwamba tayari imedhihirisha uwezo wake kupitia chaguzi ndogo zilizoandaliwa. Melita Oletenges anaarifu zaidi.