IEBC yaanza zoezi la mwisho la kuwasajili wapiga kura hapa nchini

  • | Citizen TV
    IEBC inasema inalenga wapigakura wapya milioni 4.5 kwenye zoezi Zoezi la usajili litafanyika kati ya tarehe 17 Januari hadi 6 Februari Wakenya ambao hawajasajiliwa watakiwa kujitokeza kujiandikisha