- 99 viewsDuration: 2:08Tume huru ya uchaguzi na mipaka humu nchini (IEBC) imeondoa hofu ya uwezekano wa wizi wa kura kwenye uchaguzi mkuu ujao. Kamishna wa tume hiyo Alutalala Mukhwana amesema teknolojia iliyopo pamoja na taratibu za usimamizi wa uchaguzi ambazo tume inapania kutumia ni ithibati kwamba haitakuwa rahisi kuiba kura. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive