Skip to main content
Skip to main content

IEBC yalalamikia idadi ndogo ya wakenya wanaojisajili, kaunti kadhaa zina wapiga kura chache sana

  • | Citizen TV
    205 views
    Duration: 3:04
    Tume ya uchaguzi na mipaka IEBC imelalamikia idadi ndogo ya wakenya wanaojitokeza kujisajili kama wapiga kura. Hadi kufikia sasa, ni wakenya elfu 90 waliojisajili. Wanasiasa sasa wakiwa mbioni kuwataka vijana kujitokeza kwa usajili huu unaoendelea. Kaunti za tanariver, samburu, marsabit na isiolo ni baadhi ya kaunti ambazo hadi sasa hazijasajili wapiga kura hata zaidi ya 50