- 276 viewsTume ya uchaguzi na mipaka iebc sasa inasema haina fedha ya kutosha kuandaa chaguzi ndogo 8 zinazotarajiwa mwezi novemba mwaka huu. Iebc ikisema kuwa hazina ya kitaifa haijatoa fedha za kuandaa chaguzi hizo. Na kama anavyoarifu emmanuel too, iebc inasema inalenga kusajili vijana milioni nne kushiriki uchaguzi mkuu wa 2027.