- 953 viewsDuration: 3:52Licha ya eneo bunge la Kajiado Mashariki kuwa mwenyeji wa uzinduzi rasmi wa shuguli ya kuwasajili wapiga kura wpya nchini hadi sasa ni wapiga kura 53 pekee ndio wamesajiliwa, huku idadi ndogo ya wanaojitokeza ikizidi kushuudiwa. Wakizungumza wakati walisimamia uchaguzi wa wanafunzi katika shule ya Dawamu maafisa wa IEBC huko Isinya wameeleza kusikitishwa na idadi hiyo wakitoa wito kwa vijana kujitokeza na kusajiliwa kama wapiga kura ili watumie fursa hiyo kufanya uamuzi wa kuwachagua viongozi kwneye uchaguzi mkuu ujao.