IEBC yatoa taratibu za uchaguzi kwa vyombo vya habari vya kimataifa

  • | VOA Swahili
    3,035 views
    Tume ya Uchaguzi na Mipaka Kenya, IEBC, imekutana na waandishi wa habari wa kimataifa mjini Nairobi na kuwaeleza taratibu za uchaguzi mkuu utakaofanyika August 9. - - - - - #VOASwahili Sauti ya Amerika - Idhaa ya Kiswahili inawafikia zaidi ya watu milioni 100 wanaotembelea tovuti, mitandao ya kijamii, radio na televisheni zetu. Tunawasilisha maudhui kuhusu Afrika Mashariki na Kati kwa nchi takriban 11 huko Afrika na wale walioko ughaibuni na kwingineko duniani. Vipindi vyetu vimejikita katika maudhui mbalimbali ikiwemo habari, vijana, wanawake, siasa, sayansi, teknolojia, afya, biashara, michezo, muziki na burudani na pia tunawashirikisha wasikilizaji wetu.