Ifahamu China I Tamasha ya Duanwu

  • | KBC Video
    3 views

    Mashindano ya kusisimua ya mashua za joka yalifanyika katika miji kadhaa nchini China mwishoni mwa wiki iliyopita kwa ajili ya kusherehekea tamasha lijalo la Mashua za Joka ili kuchangamsha maandalizi ya sherehehiyo na kuhamasisha umma kushiriki kwenye michezo. Hayo ni katika makala yetu kuhusu Ifahamu china

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive