Ifahamu China: Maadhimisho ya V-Day

  • | KBC Video
    4 views

    Katika Makala yetu kuhusu ifahamu China tunaangazia maadhimisho ya miaka 80 ya ushindi wa vita vya ukombozi wa watu wa China dhidi ya uvamizi wa japani na vita vya dunia dhidi ya Ufasisti jijini Beijing. Maonesho hayo yataandaliwa mwezi Septemba katika uwanja wa Tian’anmen, kama ishara ya uwezo ya kisiasa na kijeshi na kumbukumbu ya kihistoria. Tazama

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive