Ifahamu China: Manufaa ya tiba asilia

  • | KBC Video
    3 views

    Mkutano wa kimataifa kuhusu tiba asilia wa mwaka-2024 unaendelea mjini Beijing huku ukilenga kuimarisha ushirikiano wa kimataifa katika tiba asilia na kukuza mfumo wa pamoja wa afya katika dunia nzima. Rais Xi Jinping alituma barua ya pongezi kwa washiriki wa mkutano huo akisisitiza kujitolea kwa China kuboresha tiba asilia kwa manufaa ya watu kote ulimwenguni. Maelezo zaidi ni kwenye makala yetu kuhusu Ifahamu China

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive