Ifahamu China | Mradi wa Karez wa kusambaza maji kwenye maeneo kavu

  • | KBC Video
    13 views

    Mkoa wa jadi wa Xinjiang nchini China, una mfumo wa kusambaza maji katika maeneo kame kupitia chini ya ardhi ambao umekuwa ukitumiwa kwa shughuli za unyunyuziaji mashamba maji pamoja na matumizi ya nyumbani. Uhandisi huo mkuu jangwani umesababisha jamii kuweka mfumo wa kuteka na kusambaza maji ya barafu yanayoyeyuka kwenye milima ya theluji. Beatrice Gatonye alikuwa katika mkoa huo wa Xinjiang na anasimulia jinsi mfumo huo ulivyofanikiwa kubadilisha eneo kame kuwa kitovu cha ukulima.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.com/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1tv Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #KBCchannel1 #Kenya #News