Ifahamu China: Nishati endelevu

  • | KBC Video
    14 views

    Ripoti kutoka Ofisi ya Taifa ya Takwimu ya China iliyotolewa hivi majuzi imeonesha kuwa China imepiga hatua kubwa katika maendeleo ya nishati kwa kipindi cha miaka 75 iliyopita. Aidha, nchi hiyo inaharakisha mchakato wa kubadilisha uzalishaji wa nishati kuelekea kwenye mfumo unaozingatia utunzi wa mazingira. Maelezo zaidi ni katika makala yetu ya ifahamu china

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive