Ifahamu China | Sanaa ya Tai chi

  • | KBC Video
    13 views

    Katika makala yetu kuhusu Ifahamu China, mchezo wa Tai Chi umepata umaarufu miongoni mwa washiriki wa mashindano ya 31 ya kimataifa ya vyuo vikuu-FISU huko Chengdu ambao ni mji mkuu wa mkoa wa Sichuan Kusini Magharibi mwa China.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.com/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1tv Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #KBCchannel1 #Kenya #News #KurunziMashinani