China imezindua mfumo mpya wa ufuatiliaji wa anga unaoitwa EYESAT, ambao utajumuisha satelaiti 156 zitakazozinduliwa kuanzia mwaka 2026. Mfumo huu utafuatilia satelaiti na uchafuzi wa anga duniani kote, kutabiri hatari za mkinzano na kutoa data muhimu kwa usimamizi salama wa usafiri wa anga.Maelezo zaidi ni katika Makala ya Ifahamu China
Connect with KBC Online;
Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc
Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1
Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV
Check our website: https://www.kbc.co.ke/
#kbcchannel1 #news #kbclive