Ifahamu China: Tembo wa Asia

  • | KBC Video
    26 views

    Kundi la tembo wa ki-Asia limeonekana likila mahindi katika mashamba huko Jiangcheng, mkoa wa Yunnan, kusini magharibi mwa China, huku ndama wakicheza shambani. Serikali za mitaa zimeimarisha ufuatiliaji wa kundi hilo kwa kutumia ndege zisizo na rubani na doria za kawaida ili kuhakikisha usalama wa watu na tembo hao.Maelezo Zaidi katika makala ya Ifahamu China

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive