Ifahamu China: Ukuaji wa uchumi China

  • | KBC Video
    4 views

    Sekta za kibinafsi na ukuaji wa ubunifu zinaweza kuwa nguzo muhimu katika kufungua uwezo kamili wa ukuaji wa uchumi wa China. Haya ni kwa mujibu wa afisa wa Shirika la Fedha Duniani (IMF), ambaye amesisitiza umuhimu wa kuwepo kwa usawa wa biashara zote pamoja na mifumo bora ya kusimamia matumizi salama na ya kimaadili ya akili mnemba

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive