IG Kanja ashtakiwa kwa madai ya kuchukua usimamizi wa malipo ya mishahara ya polisi kutoka kwa NPSC

  • | NTV Video
    1,000 views

    Shirika la Sheria Mtaani pamoja na wakili Shadrack Wambui wamemshtaki Inspekta Jenerali wa Polisi Douglas Kanja kwa madai ya kuchukua usimamizi wa malipo ya mishahara ya polisi kutoka kwa Tume ya Kitaifa ya Huduma za Polisi (NPSC), kinyume na sheria.

    Subscribe to NTV Kenya channel for latest Kenyan news today and everyday. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.

    Website: ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya