IGAD imeipokeza wizara ya afya maabara tamba

  • | Citizen TV
    46 views

    Mamlaka ya IGAD kwa ushirikiano na muungano wa bara ulaya na umoja wa mataifa imeipokeza wizara ya afya maabara tamba ili kufanikisha matibabu ya dharura na kuiwezesha wizara ya afya kukabiliana na magonjwa ambukizi.