IGP Sirro ataka wapinzani warudi nyumbani kuendeleza taifa

  • | BBC Swahili
    Mkuu wa polisi Tanzania, Simon Sirro asema wapinzani walioondoka nchini humo warudi nyumbani. "Sisi hatuna habari yeyote ya kutishiwa kwa kiongozi yeyote, ninawahakikishia usalama wenu," Sirro amesisitiza. #Tanzania #siasa #bbcswahili