'Ilikuwa mara yangu ya kwanza kuingia ndani ya handaki'

  • | BBC Swahili
    1,717 views
    Mtaalamu wa Ghana mwenye makazi yake Israel ameonesha chumba cha kulala ambacho alijihifadhi "kwa mara ya kwanza maishani mwake" wakati Hamasi waliposhambulia Israel. Akizungumza kutoka Yehuda, kitongoji cha Tel Aviv, Seth Cudjoe anakumbuka hali "ya kutisha" wakati ving'ora vya tahadhari vilipolia wakati wa mashambulizi ya Hamas tarehe 7 Oktoba. #bbcswahili #israel #gaza Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw