'Ilikuwa ngumu sana kwangu, tunajifunza na kusonga mbele' - Ferdinand Omanyala

  • | BBC Swahili
    475 views
    Mwanariadha Ferdinand Omanyala ambaye amemaliza wa saba katika mashindano ya riadha ya Dunia kwa mwaka 2023 huko Budapest, Hungary hajakata tamaa akiamini huu ni wakati mzuri kwake wa kutathmini kile ambacho kilitokea na ili aweze kufanya vizuri zaidi katika mashindano yajayo. Kabla ya kwenda Ulaya, Omanyala anayeshikilia rekodi ya Afrika katika mbio za mita 100 alizungumza na Mwandishi wa BBC Swahili @frankmavura kuhusu kwanini anapenda mbio za mita 100 na nia yake kwa vijana. 📽️: Frank Mavura #bbcswahili #kenya #omanyala