'Ilikuwa ni safari ya kuzimu'- Kukimbia kaskazini mwa Gaza: '

  • | BBC Swahili
    3,181 views
    Miezi miwili iliyopita, Israel iliamuru zaidi ya Wapalestina milioni moja wanaoishi kaskazini mwa Gaza kuhamia kusini wakati ikijiandaa kufanya mashambulizi yake ya ardhini dhidi ya Hamas. Mpigapicha wa BBC Arabic Jehad El-Mashhrawi na familia yake walikuwa miongoni mwa maelfu ya Wapalestina waliokimbilia kusini kupitia barabara iliyotajwa na Israel kama "njia salama". Anaelezea kwa kina safari yake hiyo aliyoiita kuwa ni 'safari ya kutisha'. #bbcswahili #gaza #hamas #israel #rafah #palestina Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw