Imani potovu Kilifi

  • | Citizen TV
    1,052 views

    Siku chache baada ya utata mwingine wa kidini kuchipuka eneo la Kwa Binzaro kule Chakama na kuzua wasiwasi miongoni mwa wakazi, Serikali ya kitaifa imetakiwa kuongeza maafisa wa utawala katika eneo la Chakama na Shakahola ili kukabiliana na visa vya dini tata kuzuka eneo hilo