Imebainika kuwa Samuel Mutisya mkazi wa Kibra alipigwa risasi

  • | Citizen TV
    5,597 views

    Mwili wa Samuel Mutisya aliyepigwa risasi mtaani Mlolongo na kupelekwa katika makafani ya city sasa imebainika kuwa alifariki baada ya kupigwa risasi kichwani na wala si kuuwawa na umati wa watu eneo hilo siku hio ya maandamano. Mwanahabari wetu wa upekuzi Ode Francis alikusanya matukio ya namna vijana wawili walikutana na risasi wiki iliyopita katika maandamano na kutuandalia taarifa ifuatayo.