Imebainiwa wanafunzi 15,000 walikosa kuenda shuleni kutokana na mafuriko yanayoshuhudiwa nchini

  • | NTV Video
    201 views

    Utafiti mpya uliofanywa na Shirika la Elimu Bora umebaini kuwa wanafunzi 15,000 wamekosa kuenda shuleni mwaka huu kutokana na mafuriko makubwa yanayoshuhudiwa katika sehemu mbalimbali nchini.

    Subscribe to NTV Kenya channel for latest Kenyan news today and everyday. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.

    Website: ntv.nation.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya