Imekuwa miaka 13 tangu kuidhinishwa kwa katiba

  • | Citizen TV
    823 views

    Ikiwa ni miaka 13 tangu kuidhinishwa kwa katiba ya sasa, kundi la baadhi ya wakenya na wataalam wakiongozwa na wakili wa kikatiba profesa patrick lumumba wanapendekeza marekebisho kupitia ridhaa ya wapiga kura. Kundi hili sasa likipendekeza mabadiliko kwenye vipengee vya uongozi, uwakilishi, ugatuzi na hata tume ya uchaguzi.