- 441 views
NTV imebaini kuwa uzembe wa maafisa wa kudhibiti ubora mashuleni katika wizara ya elimu na utepetevu wa mmiliki wa shule ya Hillside Endarasha, kwa miaka mingi umekuwa ukihatarisha maisha ya wanafunzi shuleni humo. Inashangaza kuwa shule hiyo haina ua imara katika pande zote nne kama inavyopaswa, ila kuna ua kwenye pande tatu tu, huku uzio wa upande wa nne ukiwa na mapengo yanayoweza kutumiwa na yeyote kuingia na kuwadhuru wanafunzi. Haya yanajiri wakati ambapo idara ya upelelezi D.C.I inawahoji walimu na wafanyakazi wengine wa shule hiyo kubaini kiini.
Subscribe to NTV Kenya channel for latest Kenyan news today and everyday. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.
Website: ntv.nation.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya
Inabainika uzembe wa maafisa wa kudhibiti ubora mashuleni ulihatarisha maisha ya wanafunzi
- - Duniani Leo ››
- - 🔴 TV47 Live ››
- 12 Jul 2025 - A court in Madagascar has sentenced a man to surgical castration for the rape of a child in 2024, a judicial official said, in the first such measure on the Indian Ocean island.
- 12 Jul 2025 - Ukrainian drone and shelling attacks killed three people in Russia on Friday, while Russian bombardments on eastern Ukraine forced the evacuation of a maternity centre in Kharkiv and wounded nine.
- 12 Jul 2025 - Four crew members of a cargo ship attacked and sunk by Yemeni rebels earlier this week are presumed dead, an EU naval force said Friday, with search operations ongoing in the Red Sea.
- 12 Jul 2025 - His resignation coincided with another senior government official's resignation on the same day.
- 12 Jul 2025 - Canada's recent concessions to Trump appear to have yielded, to date, little result.
- 12 Jul 2025 - Singer and influencer Diana Marua was left surprised after her eldest son, Morgan, revealed his future marriage plans.
- 12 Jul 2025 - East African Legislative Assembly Member of Parliament (MP) David Sankok has shared a remarkable journey of how he
- 12 Jul 2025 - Gachagua spoke while in the US where he is currently in a tour.
- 12 Jul 2025 - 'If we did have our own capability, we would not have been left at the mercy of the West.' - Uhuru
- 12 Jul 2025 - Twalib says Ruto has empowered women and youth at the grassroots levels.