India yafunga zaidi ya vituo 700 vya utoaji chanjo huku majimbo kadhaa yakiripoti uhaba wa chanjo

  • | KBC Video
    India imefunga zaidi ya vituo 700 vya utoaji chanjo huku majimbo kadhaa yakiripoti uhaba wa chanjo ya ugonjwa wa COVID-19. Visa vya maambukizi nchini India vimezidi vile vya Brazil na kufanya nchi hiyo kuwa ya pili yenye idadi kubwa ya maambukizi duniani. Nchi 92 zinategemea India kwa chanjo ya ugonjwa wa COVID-19. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.com/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1news Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #KBCchannel1 #KBCNewsHour #KBClive