Baba wa wasichana wawili waliouawa katika mkanyagano katika uwanja wa mpira wa miguu nchini Indonesia ameita maafa hayo "mauaji, si ghasia za soka". Mke wa zamani wa Devi Athok pia alikufa pamoja na binti zao kwenye mkanyagano wa Jumamosi.
Takriban watu 131 waliuawa wakati maelfu ya mashabiki walipokimbilia uwanjani baada ya timu ya nyumbani kupoteza mchezo kwenye uwanja wa Kanjuruhan huko Malang, Java Mashariki. Polisi walijibu kwa kurusha mabomu ya machozi.
Mkuu wa jeshi la polisi mkoani humo ameomba radhi kwa kasoro za namna ulinzi ulivyosimamiwa uwanjani hapo. Uchunguzi wa jinai kuhusu tukio hilo sasa unaendelea.
#bbcswahili #indonesia #michezo
29 Mar 2024
- As the doctor’s strike enters day 15, there are no signs of the continued industrial action being resolved any time soon as concerns continue to be raised on the plight of patients the country’s state of health system.
29 Mar 2024
- Police have arrested five suspects believed to be part of a gang that broke into a businessman's vehicle in Nairobi's South C area and robbed him of close to Ksh.3 million a fortnight ago.
29 Mar 2024
- Thousands of Jordanians rallied near the Israeli embassy on Thursday in a fifth day of large protests against Israel, calling for an end to Jordan's unpopular peace treaty with its neighbour to the west.