- 210 viewsMamlaka nchini Indonesia Jumanne ilisema wameipata miili minane kutoka katika shimo la Mlima Marapi na kuwa watu 10 hawajapatikana, baada ya volcano kulipuka siku kadhaa zilizopita huko Sumatra Magharibi, ikiongeza idadi ya waliothibishwa na wanaodhaniwa wamekufa kufikia 23. Miili ya wapandaji mlima watano ilipatikana Jumatatu, na wengine kadhaa wanadhaniwa wamefariki kwa sababu walikuwa karibu na mlipuko huo wa gesi wenye moto na majivu, kulingana na afisa mmoja. Edi Mardianto, Naibu Mkuu wa Polisi wa Sumatra Magharibi: “Tunakabiliwa na matatizo mengi kutokana na hali ya hewa isiyotabirika na pia maeneo magumu kufika ambako upepo unarusha majivu ya volcano na mawingu ya moto, hivyo siyo rahisi kwetu kuifikia miili hiyo.” Baadhi ya wapandaji mlima 75 nchini katika eneo hilo wakati mlipuko huo unatokea siku ya Jumapili, kulingana na msemaji mmoja anayesimamia timu ya utafutaji na uokoaji. Marapi ni moja ya volcano zilizohai huko Sumatra. Mlipuko mbaya kabisa ulitokea Aprili 1979, ambako watu 60 waliuawa. Indonesia iko katika eneo la Pacific linalotajwa kuwa ni “Duara la Moto” na lina volcano zilizo hai 127, kulingana na shirika la kufuatilia volcano. #indonesia #marapi #mlima #volcano #sumatra #vifo #voa #voaswahili #mlipuko
Indonesia: Zoezi la kuwatafuta watu kumi waliokwama kwenye mlima laendelea
- 16 Aug 2025 - President William Ruto is scheduled to tour the United States next month for the 80th session of the United Nations General Assembly (UNGA) in New York, marking his first trip to the U.S. under President Donald Trump’s administration.
- 16 Aug 2025 - The killer Coptic roundabout in Mamboleo along Kisumu Kakamega highway has been dug out by unknown people last night following cases of road accidents in the area, with the latest claiming 27 lives, out of which 22 are set to be laid to rest today in…
- 16 Aug 2025 - The Democratic Republic of Congo (DRC) has raised objections over President William Ruto's nomination of a new Consul General to Goma, warning that such nominations require prior approval from Congolese authorities.
- 16 Aug 2025 - Politics can be messy, even desperate. But to cross the line into the indignification of women — reducing them to objects for male amusement — is not desperation. It is degradation.
- 16 Aug 2025 - The last days of July and the early weeks of August have been marked by a wave of
- 16 Aug 2025 - Kenya Power has issued a notice of planned power outages affecting parts of Nairobi, Machakos, Nakuru, and Mombasa
- 16 Aug 2025 - He described the voting process as irregular and predetermined.
- 16 Aug 2025 - Ghana international Semenyo took to Instagram after the game to show more racist abuse he had received.
- 16 Aug 2025 - Kipyegon clocked a blistering 8:07.04, the second-fastest time ever recorded over the distance
- 16 Aug 2025 - Deputy President Kithure Kindiki has warned opposition leaders against any attempts to destabilize the country to gain power, declaring such acts to be dangerous and unacceptable.