ingwa wa mbio za mita 1500 na 5000 Faith Kipyegon atuzwa na rais

  • | Citizen TV
    1,747 views

    Bingwa wa mbio za mita 1500 na 5000 kwa wanawake Faith Kipyegon ametunikiwa shilingi millioni tano na nyumba ya thamani ya shillingi milioni sita na serikali ya kenya kwa kuvunja rekodi mbili za dunia. Katika hafla ya kuwatuza wanariadha akiwemo Ferdinand Omanyala, Rais William Ruto amesema taifa litakuwa linawatambua wanariadha wanaofanya vyema wanapowakilisha kenya kimataifa.