Inspekta jenerali afungua warsha kuhusu afya ya akili

  • | Citizen TV
    92 views

    Walimu wa 19 waliopatikana na makosa ya wizi wa mtihani wanaandikisha taarifa na idara ya DCI kule Kenyenya. Walimu hao wakiwemo mwalimu mkuu na naibu wake katika shule ya upili ya Kebabe wameondolewa katika kituo hicho cha mtihani baada ya maafisa wa Baraza la Mtihani kupata simu 34 wakati wa mtihani wa KCSE ulipokuwa ukiendelea.