Inspekta jenerali akosa kufika mahakamani kama alivyoagizwa

  • | Citizen TV
    2,973 views

    Maafisa wa upelelezi DCI wameiambia mahakama kuwa hawakumkamata mwanablogu Ndiang'ui Kinyagia. kwenye kesi ambapo inspekta jenerali wa polisi douglas kanja alitakiwa kuhudhuria kama alivyoagizwa ili kueleza aliko ndiang'ui, maafisa wa DCI wanasema kuwa wanamtafuta mshukiwa huyo wa uhalifu wa mtandaoni