Inspekta Jenerali mteule wa polisi Japhet Koome asailiwa kabla ya kuidhinishwa

  • | Citizen TV
    2,272 views

    Inspekta Jenerali mteule Japheth Nchebere Koome ameahidi kuangazia marupurupu na mishahara ya maafisa wa polisi pamoja na kuboresha utendakaji wao iwapo achaidhinishwa kuchukua wadhifa huo. Koome alihojiwa katika kikao cha pamoja cha kamati ya seneti na bunge la kitaifa kuhusu usalama.