Inspekta jenerali wa polisi Japhet Koome asema walinzi wa Uhuru wamepunguzwa kwa mujibu wa sheria

  • | Citizen TV
    16,503 views

    Walinzi wa rais mstaafu Uhuru Kenyatta wamepunguzwa kwa mujibu wa taratibu zilizowekwa kisheria wala sio siasa. ndio kauli yake Inspekta jenerali wa polisi Japhet Koome akithibitisha kupunguzwa kwa maafisa wa polisi waliokuwa wakimlinda Rais mstaafu Uhuru Kenyatta na familia yake. Koome amesema inspekta jenerali msaidizi ni miongoni mwa maafisa walioondolewa.