- 1,503 viewsDuration: 1:18Inspeka mkuu wa polisi Douglas Kanja amesema idara ya polisi imefaulu kudhoofisha magenge ya uhalifu ambayo yamekuwa yakitisha maeneo kadhaa nchini, pamoja na visa vya ugaidi. Kulingana naye, kesi za uhalifu zimepungua kwa asilimia tano mwaka huu ikilinganishwa na mwaka 2024.