Ipi hatma ya vita vya Urusi na Ukraine? Katika Dira ya Dunia TV

  • | BBC Swahili
    9,640 views
    Urusi inasema watu wawili waliuawa katika mashambulizi ya Ukraine usiku kucha, huku ikizuia na kuharibu zaidi ya ndege 150 zisizo na rubani katika maeneo yake ya kusini na magharibi. Mashambulizi ya Urusi dhidi ya Ukraine pia yanaendelea, ingawa sio kwa nguvu ya siku za hivi karibuni.