Ipi nafasi ya vijana katika uongozi Afrika. Katika Dira ya Dunia TV

  • | BBC Swahili
    5,934 views
    Kumekuwa na hisia mseto kuhusu nafasi na ushawishi wa vijana katika uongozi barani Afrika baada ya baadhi ya viongozi kutumia muda mwingi madarakani. Wengi wakiuliza je, ni ipi athari ya kudumu madarakani kwa muda mrefu?