23 Sep 2025 10:36 am | Citizen TV 1,540 views Duration: 3:13 Warui aliripotiwa kufariki ndani ya seli ya Central Mombasa.Taarifa ya polisi inadai kuwa alikuwa ameiba Nairobi. Mashirika ya haki sasa yanataka uchunguzi wa haraka