Skip to main content
Skip to main content

Iran na Marekani kukutana Pakistan nini kitarajiwe

  • | BBC Swahili
    22,941 views
    Duration: 1:24
    Mazungumzo ya ngazi ya juu kati ya Marekani na Iran yanafanyika Islamabad, Pakistan ikiwa ni katika juhudi za kusaka amani baada ya kusitisha mapigano kwa wiki mbili huko Mashariki ya Kati. Sasa, Tutarajie nini baada ya mazungumzo hayo wakati Iran na Marekani bado haziaminiani? Baldeen Waliaula anaelezea #bbcswahili #marekani #iran Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw